Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Yan jana aibu nimeona mimi.
Kuna sehemu moja kuna mzee ana nyumba yake na anaishi hapo na mke wake na wanafamilia wengine.
Basi baada ya kuwa naenda hapo dukani kwake nikagundua kuwa ana kijana mkubwa kabisa. Yan ni kula kulala na anakaa na wazee wake hapo.
Hii ikanikumbusha wimbo wa Kijuso, pale Queen Darlin anaposema kazi yako kula kulala,huchangii hata kitunguu!
Sasa nini kimewalemaza hawa vijana waliozaliwa hapa Dar mpaka wengi wao wakakatalia kwa wazazi wao wasiende kujitegemea?