Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MASHARTI YAKE.. Kutokusemea Uwongo Kutokuwa Mzinzi. Kutokuwa Mchawi Usiwe Mseng’enyaji. Usiwe Mlevi. Usiwe Mwongo Usilipize kisasi wala kushindwa kusamehe Usipende MALI na ANASA kuliko...
12 Reactions
47 Replies
5K Views
Idadi ya kesi na vitendo vya udhalilishaji hapa visiwani kwetu vinazidi kuongexeka inatia aibu nakutisha MZEE wa miaks 56 kumbaka binti wa miaka 6 yaani Ni hatarii
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu humu huwa haliaribiki jambo Naomba tufahamishane,kuna uhusiano gani kati ya mtu kuvaa nguo nyekundu wakati wa mvua na kuogopa kupigwa radi?? Toka enzi za utotoni shuleni,unakuta watu...
3 Reactions
36 Replies
12K Views
Ilikuwa ni mwendo wa chai viandazi na vigodoro mtindo mmoja... Yaani hata hapa naandika nimetoka kugonga biriani la kuku kuna maalimu mmoja kuchukua jiko la pili leo. Ninaposema ndoa kumi na...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Hivi hamuoni maji yanavyomwagika hovyo huku mtaaani.. Au tuanze kufuga kambale barabarani... Nasubiri Mhe. Raisi awatumbue ndiyo mtapata akili.
0 Reactions
2 Replies
629 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI –PRESS RELEASE KUSIMAMISHWA HUDUMA YA TRENI ZA ABIRIA KWENDA BARA KUANZIA LEO MEI 18, 2017 Uongozi Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) umetangaza kusimamishwa huduma ya...
2 Reactions
49 Replies
10K Views
Mkoa unaoongoza ni Dsm sijui walimuiga Bashite? Sasa imekula kwao na jamaa anapeta mtaan tu, karibuni muwe mchepuko sasa maana hakna namna mkuu ndo kawakatza tena ulaji wenu, hongera sana JPM...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Ama hakika huyu Mtangazaji ( Mwanadada ) Mnyange / Mrembo kabisa kwa sasa nchini Tanzania kama siyo hata Afrika ya Mashariki aitwae Bahati Alex wa Radio One na ITV sidhani kama kwa jinsi alivyo '...
5 Reactions
111 Replies
28K Views
Habari wanaJF. Nimetafakari peke yangu bila majibu nikaona ni vyema niulize humu huenda tukatambua ilipo faraja ya kweli ktk awamu hii ya tano kulingana na mfululizo wa matukio nchini tangu awamu...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba Mods Msichanganye uzi huu na wowote ule kuisadia BASATA na WASANII. Wasalaam ndugu wana Jamii Forum nashukuru sana uwepo wa jarida hili la kupashana habari ambazo hata kwingineko...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni jambo la aibu Sana Kwa barabara inayoelekea kwenye makao makuu ya wilaya na manispaa ya Ilemela Buswelu Kuwa mbaya kiasi hiki Hasa hapa maeneo ya shule ya msingi Gedeli yani ni mashimo tupu...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau najua Kwa kuwa wengi humu ni wafuatiliaji Wa mambo mnaweza kusaidia hatma ya wenye incomplete vyeti... Kiuhalisia baadhi ya orodha ya uhakiki serikali iligundua makundi matatu makuu kV 1...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
kwako kaka hii ikupate popote ulipo uwe ndan ya nchi au nje ya nchi mimi naitwa mayala boy ni msanii ambaye sasa nimeiva ninaitaji kusikika na watu waweze kupata radha na ujumbe tofauti wa nguvu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiukweli kijana huyu anaye chezea Tim ya Selengeti boyz nampenda na jezi yake namba 20 pia kafanana sana na Ngolo Kante lo ni noma sana huyu dogo
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Inspekta Jenerali Saidi Mwema kuomboleza kifo cha askari...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwanza naomba nikiri kwamba mimi ni suriama niliyechanganya damu ya Kinyamwezi. Kule Unyamwezini ni Ujombani kwangu kwani Babu wa Babu yangu mzaa mama ni Manamba wa Kinyamwezi Mkata Mkonge...
7 Reactions
204 Replies
30K Views
Nawapongeza tanesco kwa kuwa na simu za huduma kwa wateja ambazo zinapatikana na kuweza kukusaidia. Sio km makampuni ya simu lkn simu zao hazipatikani. Jana nilikua na tatizo la luku usiku...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Kama umesoma mpaka chuo na sio mbishi utakubaliana na maneno yangu kwamba wanaume/wavulana wengi tuko shallow english tofauti na wanawake, hili nimeliona tulivyokuwa secondary kupitia debates, pia...
7 Reactions
114 Replies
10K Views
Wakuu nahitaji mashine mdogo ya kukatia karatasi...tuwasiliane PM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…