Jumuiya ya Afrika Mashariki na mahusiano

nkese

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
3,066
2,808
Heshima kwenu wana JF.

Nimejaribu kutafakari na kujiuliza ni nini hasa maana na sababu ya viongozi wengi wa Jumuiya ya nchi za Afrika Mashariki kutohudhuria kikao Jana?

Imeshuhudiwa nchi 2 tu ndo wakuu wake walihudhuria: Tz kama mwenyeji na mwenyekiti,Uganda kama anayepokea kijiti.

Swali: Viongozi wengine kutuma wàwakilishi ni ishara ya ;
A.kutoridhishwa na mwenendo wa Jumuiya?
B.uhusiano mbovu miongoni mwa wanachama?
C.kukosekana ubunifu kwa m/kiti aliyemaliza muda wake?
D.hali mbaya za kisiasa na kiuchumi ktk nchi wanachama?
F.marais kutingwa na majukumu nchini mwao au nini hasa?.
Wadau nawasilisha!
 
Kenya ina udhuru ya uchaguzi mkuu, kwahio Kenyatta yupo busy na kugombania kiti cha rais kwa wakati huu.
 
Back
Top Bottom