Nchi hii inahitaji kuongozwa na watu Kama kina mzee Msisi

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,026
3,104
Salam,

Huyu Jamaa kila nikimsikilizaga anavyowadanganya watoto kupitia star tv nacheka sana...
Ila kwa namna nyingine najiweka kwenye nafasi ya wale watoto na hasa kwa jinsi viongozi wangu wa kiserikali wanavyotudanganya kila uchaguzi unavyowasili.

Ni vyema tukakata shauri na kuchagua viongozi Wengi wenye akili ya kina Msisi kwa sababu tutakuwa tu nadanganya na mtu tunayajua ni muongo hivyo hatutaumizwa sana na uongo wake.

Kuliko kuchagua watu serious na kumbe nyuma ya pazia wametuzuga.

[HASHTAG]#mzeemsisi2020[/HASHTAG]
 
Tatizo ni sisi wenyewe na halimashauri za vichwa vyetu,tunafurahia sana kudanganywa kuliko ukweli.
 
Back
Top Bottom