Je, Mafunzo ya JWTZ yanachukua muda gani?

Free Again

Senior Member
Dec 20, 2015
114
93
Habari za majukumu Ndugu zanguni!
-Naomba kujua mafunzo ya jwtz yanachukua muda gani kuanza mpaka kuisha?
-gharama zinazohusiana na mafunzo na vitu vinavyotakiwa uwe navyo .
-je mafunzo kwa kawaida yanaanza lini/mwezi gan?

Asanteni sana kwa mnao jua na mkachukua muda wenu kunijibu.

Naomba kuwasilisha.
 
KWANN umeuliza hayo yote????gharama za kulipia mafunzo kwenye Jeshi Lipi mkuu?????gharama unalipia wewe au unalipwa mshahara ukishaanza kutumikia jeshi? ??Au unataka kwenda jeshini kupata mafunzo binafsi ya kijeshi ndio unaulizia gharama boss
 
Asante
 
Kupitia JWTZ, inakubidi uwe umepigwa kwata la Kikuruta aka JKT kwa miezi sita.

Kisha baada ya hapo kama utabahatika kuchukuliwa JWTZ, itakubidi upige kozi kwa miezi mingine minne/mitatu. Kisha ndipo utaajiriwa rasmi. Kwa hiyo kama utanyooka moja kwa moja, inaweza kuchukua miezi 10 hadi 12.

Kumbuka, unaweza kutoka JKT ukasota sana mtaani hata miaka miwili bila ishu. Ama la uchukuliwe na Uhamiaji, Polisi, Magereza na vyombo vingine vya Usalama.

Mafunzo hutegemeana na ratiba zao walizojipangia. Kwa mwaka huu sijajua zinaanza lini lakini nadhani ni baada ya waliopo JKT kumaliza.

Ukishaingia, hakuna gharama zaidi ya Kujitoa kizalendo. Gharama na kila kitu watagharamia wao.
 
Asante sana mkuu ...nimekupata mubashara
 
Vipi kuhusu wa Monduli, wanaenda wa sifa gani?
 
Back
Top Bottom