Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Kile kinachosema kuwa ni usaliti wa wandishi wa habari ndicho star tv wanakifanya kwanzia kesho
Yakiwakumba ya Clouds wasije kulialiaHakuna usaliti, bali wameona ni ujinga kufuata maagizo na maazimio ya kipuuzi kwa kutumia ripoti iliyojaa muegemeo wa upande mmoja.
Sio wote. Ni nyie tu mnaoangaliaga hyo station. Na kma ni nyie tu, basi sio kwmb mnahamia, ila MNAENDELEA kuangalia. Binafsi siipendagi tu hyo TV stationKesho watazamaji wote tunahamia star Tv, hatupendi ujinga.!
UmelazimishwaSiangaliagi hii tv,hawana weledi kabisa.
Mimi naanza Sasa hivi mpaka hiyo keshoKesho watazamaji wote tunahamia star Tv, hatupendi ujinga.!
Mh. MAKONDA , sisi wananchi tunakuunga mkono kwenye vita vya madawa. Songa mbele. Usikate tamaa.Hatuangalii huo upuuzi...
Labda bash ake na cocochupy ndio watakaotazama...