Haya maneno kila yakisikika baadhi ya watu mioyo huumia!

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
17,142
26,132
-Dikteta
-Kukurupuka
-Rambirambi


Haya maneno yamekuwa maarufu sana msimu huu,kuna watu wakiyasikia wanapata ganzi!Awamu iliyopita maneno hayo yalikuwa hayana impact yeyote!Awamu hii ni tofauti,maneno hayo yamekuwa mwiba!Yaani wanatamani hata hiyo misamiati isingekuwepo!

Je,kwanini maneno hayo yana tensio mno awamu hii?
 
Bila kusahau "fent ford" sijui "font fed" ila vyovyote vile ilimuradi yanarandana
 
Back
Top Bottom