Gari Rav4 namba T710 DGN iliyoibwa siku ya Jumanne

D 007

JF-Expert Member
Oct 31, 2012
206
147
WIZI.....WIZI .............Salamu wandugu! Gari Rav4 yenye namba T710 DGN iiliyoibwa jummane iliyopita imeonekana MWANZA maeneo ya ngudu ikiwekwa mafuta TABASAMU PETROL STATION usiku wa alhamis kwa yeyote atakae iona popote tunaomba ataoe taarifa police au kwa namba hizi Voice call 0714876647 0713119923...asante
 
Attachments

  • rav 4.jpg
    rav 4.jpg
    97.7 KB · Views: 60
WIZI.....WIZI .............Salamu wandugu! Gari Rav4 yenye namba T710 DGN iiliyoibwa jummane iliyopita imeonekana MWANZA maeneo ya ngudu ikiwekwa mafuta TABASAMU PETROL STATION usiku wa alhamis kwa yeyote atakae iona popote tunaomba ataoe taarifa police au kwa namba hizi Voice call 0714876647 0713119923...asante
tangaza na zawadi mkuu
mkono mtupu haulambwi
 
Wewe mtoa taarifa una lako jambo....sasa unasema imeonekana sasa unataka nini tena?au ww ndio umesuka huo mpango Wa kumuibia mzee Charles Temu?
 
WIZI.....WIZI .............Salamu wandugu! Gari Rav4 yenye namba T710 DGN iiliyoibwa jummane iliyopita imeonekana MWANZA maeneo ya ngudu ikiwekwa mafuta TABASAMU PETROL STATION usiku wa alhamis kwa yeyote atakae iona popote tunaomba ataoe taarifa police au kwa namba hizi Voice call 0714876647 0713119923...asante
SASA WAKATI IMEONEKANA URICHUKUA HATUA GANI NA HAPO KWENYE KITUO KUNA MLINZI ANA SILAHA.
 
Acha njaa mkuu, humu JF unatumia MB za sh ngapi n a nani anakulipia?
kujisumbua kwa mambo yasio na faida niliacha zamani mkuu utanisamehe
na pia wewe huoni hiyo ni risk hao majambazi wakijua umewachoma?
atleast kuwe na kifuta jasho cha kuondoa stress
 
SASA WAKATI IMEONEKANA URICHUKUA HATUA GANI NA HAPO KWENYE KITUO KUNA MLINZI ANA SILAHA.
Taarifa kwa polisi..sisi ndo wa kusaidia polisi kaka wenyewe hawawez fanikiwa kwa urahisi..
 
ninacho uliza mimi ni kwamba iliibiwa na ikaonekana inaweka mafuta perostation moja huko mwanza kama sijakukkote vibaya sasa ninacho uliza wewe ulichukua hatua gani mda huo baaada ya kujua hiyo gari imeibiwa na wewe umeiona inaweka mafuta ikzingatiwa pale kwenye kituo cha mafuta kun amlinzi tena mwenye bunduki.
 
WIZI.....WIZI .............Salamu wandugu! Gari Rav4 yenye namba T710 DGN iiliyoibwa jummane iliyopita imeonekana MWANZA maeneo ya ngudu ikiwekwa mafuta TABASAMU PETROL STATION usiku wa alhamis kwa yeyote atakae iona popote tunaomba ataoe taarifa police au kwa namba hizi Voice call 0714876647 0713119923...asante
Sasa hapo Mwanza ilipoonekana si ndiyo ilikuwa ikamatwe iliachiwa vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom