mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,082
TEMESA tafadhalini sana , mnabeba roho na Mali za watu kupitia vivuko vya MV. Magogoni na MV. Kigamboni, tumetoka kulia juzi tu ajali Arusha, tunaomba muepushe ajali inayowezekana katika vyombo hivyo.
Wale waendesha vyombo siku hizi sidhani kama ni competent ndo maana ile MV. Magogoni imegongwa kwa mbele hadi imepinda, pia zinavyoendeshwa ni Mashaka matupu, sidhani Dereva anaweza shindwa kuegesha vizuri watu washuke smoothly, yaani vyombo hivo vinaendeshwa kwa viashiria vya hatari siku hizi.
Ninaomba sana mamlaka zote zifanyie kazi hilo hatutaki baadae tupate msiba wa kitaifa kwa makosa yanayoweza kuzuilika.