Nichumu Nibebike JF-Expert Member Aug 28, 2016 8,658 15,784 May 21, 2017 #2 Shauri zenu. Wakimaliza huko Rufiji watawaijia na nyie huko ofisini wawamalize. Mwananchi asipovuna mkaa ataishije wakati ndio chanzo chao cha mapato?
Shauri zenu. Wakimaliza huko Rufiji watawaijia na nyie huko ofisini wawamalize. Mwananchi asipovuna mkaa ataishije wakati ndio chanzo chao cha mapato?
R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 43,381 81,191 May 21, 2017 #3 Lolote linawezekana nchi hii kwa sasa
M mukama talemwa Senior Member Jun 14, 2011 160 28 May 21, 2017 #4 Mimi pamoja nakusoma hiyo barua,naona bado serikali imepiga marufuku ya matumizi ya mkaa kiahina
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,588 May 21, 2017 #5 Hiyo kauli ni ya kupooza wananchi kimyakimya ila agizo lipo palepale
denoo49 JF-Expert Member Mar 29, 2011 6,113 6,950 May 21, 2017 #6 Kilichofanyika hapo ni sawa na leo useme ni Marufuku kutumia maji haya kufulia, alafu kesho useme maji haya hayafai/hayatakiwi kufulia kwa sasa.
Kilichofanyika hapo ni sawa na leo useme ni Marufuku kutumia maji haya kufulia, alafu kesho useme maji haya hayafai/hayatakiwi kufulia kwa sasa.
N nkwezi Member May 8, 2007 57 19 May 21, 2017 #8 Daah yaani hiyo barua haijakanusha ila mwandishi kapunguza ukali wamaneno tu.