Wazungu wanaishi kitajiri maisha yasiyo na stress , wengi wao hawawazi njaa na shida ndogo ndogo, wazungu wanadharau hii rangi nyeusi vibaya sana.
Weusi , njaa na sisi, shida na sisi ila wengi wa...
Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja...
Wakubwa wa kambi habari zenu,
Naomba kujuzwa kuhusu withholding tax, kuna sehemu nimesoma wameandika kwamba kwenye fixed deposit account mwenye account anakatwa kodi (withholding tax).
Wakubwa...
Wakuu nipo safarini nimekaa siti na mdada ana mtoto mkubwa na mabegi. Gari ni Kosta. Hizi siti ni za mtu mmojammoja tu. Huyu mdada hataki kumweka huyu mtoto katikati ya miguu yake (kumpakata)...
Mheshimiwa Rais nakupongeza kwa hatua ulizochukua maana tulipokuwa tunaelekea watu wasingesoma kwa bidii wakitegemea kufoji au kununua vyeti.
Napenda nitaarifu serikali yako kuwa mnachezewa...
Habari rafiki,
Karibu kwenye makala yetu ya leo ya NYEUSI NA NYEUPE, ambapo huwa tunauangalia ukweli kama ulivyo, bila ya kuupindisha kama ambavyo wengi wamekuwa wanafanya ili kujinufaisha...
Kati ya siku iliyonisikitisha ni Leo. Kina rafiki yangu, namuadmire sana, toka tukiwa wadogo alikuwa so bright, mpaka akafanikiwa kuwa daktari.
Mimi binafsi huwa napenda sana kila weekend au...
Kama mtakumbuka Mara kadha wasanii Wa bongo movies/fleva wamekuwa wakijitokeza kwenye media wakidai kulipwa au kutokulipwa na chama cha mapinduzi kipindi kigumu cha kampeni mwaka 2015.
Wengi wao...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtoto wa miaka 12, Dorcas Meshak mkazi wa kitongoji cha Mbughantigha kijiji cha Matongo tarafa ya Ikungi, ameuawa na watu wasiojulikana na kunyofolewa baadhi ya...
Dar es Salaam. Ofisa wa Polisi ameuawa usiku wa kuamkia leo katika eneo la Kinyerezi Kanga wilayani Ilala.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala, Salum Hamduni
Taarifa zilizotufikia punde na...
Vyombo vya habari kwa nini havijalipa attention kwa mauaji ya Pwani kama kwa Scorpion, mwanafunzi wa Mbeya, Roma, Faru John na matukio mengine yaliyokuzwa kupita kiasi
Mauaji haya yalianza...
Hii habari nimeiona mahali. Naona kama ni wazi la busara.
Kuna mbunge mmoja katoa hili wazo. Mantiki yake ni ili kuwapunguzia usumbufu wanyama kutembea muda mrefu kutafu maji.
Salaam
Jana nilibahatika kupanda Ndege yetu ya fahari ATC TC 103
Cha kusikitisha kungia ndani ya ndege baadhi ya abiria walikua wakilalama baada ya kukuta ndege ina nafasi nying wazi huku...
Hali ya Sekta ya Afya hasa katika Afya ya Mama na Mtoto si ya kuridhisha nchini. Hii inaonekana katika takwimu mbalimbali za mwaka uliopita kama ifuatavyo:-
Wanawake wanaojifungua katika vituo...
Wanaume 11 ambao ni raia wa Tanzania wamekamatwa na Polisi na kufikishwa Mahakamani wiki hii Johannesburg Afrika Kusini .
Radio na Mtandaoni Johannesburg wiki hii kumeripotiwa kuwa kosa...
Nina bidii sana ya kununua filamu zinazotengenezwa na wasanii wa hapa nyumbani kiasi kwamba wauzaji wake wanajua kuwa kila ikitoka Movie mpya ni lazima waniletee ninunue. Lakini tatizo langu ni...
Instagram ni App yenye madhara zaidi kwa afya ya akili ya vijana ikifuatiwa kwa karibu na Snapchat kulingana na ripoti mpya ya Royal Society for Public Health(PSPH) yenye maskani yake Uingereza...
KITABU cha âMafisadi wa Elimuâ kimezidi kuwa lulu jijini Mwanza baada ya
nakala zake 25,000 ambazo zilitarajiwa kusambazwa kwa mauzo,
kununuliwa na mmoja wa wabunge na kuchomwa moto...
Habari zenu!
Makamu wa rais sijui ni ukarimu wa kupitiliza ule wa wazanzibari, leo wakati akitoa amri kwa mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya kuwa anapiga marufuku shughuli za kibinadamu kufanyika ktk...