Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,138
- 3,324
Mheshimiwa Rais nakupongeza kwa hatua ulizochukua maana tulipokuwa tunaelekea watu wasingesoma kwa bidii wakitegemea kufoji au kununua vyeti.
Napenda nitaarifu serikali yako kuwa mnachezewa mchezo mbaya sana kama kweli mlidhamilia kuondoa hili tatizo la vyeti feki. Hawa wafanyakazi zaidi ya elfu 11 ambao hawakukamilisha uwasilishaji wa vyeti na karibia vyote ni vya kidato cha nne ni kwamba nao hawana tofauti na wale waliopatikana na vyenye utata au kufoji. Nitawaelezea kwa namna mbili:
1. Hawa karibia vyeti vyao walifoji au vinatumika kwa watu wengine. Ili wasikamatike waliona wasivipeleke.
2. Wengi ni watu wenye madaraka mbalimbali hivyo waliona itakuwa aibu sana kuonekana kwenye orodha ya kufoji. Kwa mfano kwenye halmashauri yangu ya Biharamulo, wengi waliomo kwenye hiyo orodha ni wakuu wa mshule, waratibu elimu kata, madaktari hadi viongozi wa kuchaguliwa wa chama cha walimu. Nimeshuhudia wakiangaika sana na kufanya vikao vikao sijui wanalengo kujiokoa na ili sakakata?
Angalizo: wengine watavileta vile vyeti origino lakini mataona kabisa havina sifa ya kumruhusu kupata mafunzo ya utaalamu au kwenda kidato cha tano au sita. Mkibaini hilo suala mtende haki maana pia hawakustahili kupata hayo mafunzo bali walitumia vyeti vya kufoji (vilivyoeditiwa)