Kukatwa kodi kwenye fixed deposit account

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
296
181
Wakubwa wa kambi habari zenu,

Naomba kujuzwa kuhusu withholding tax, kuna sehemu nimesoma wameandika kwamba kwenye fixed deposit account mwenye account anakatwa kodi (withholding tax).

Wakubwa wa kambi naombeni ufafanuzi wa ziada kuhusu ilo.
 
Fafanua mkuu
Niliweka kias flan nikakifix,miez mi3 mi3,..sasa kipind cha kupata gawio langu nikawa napata ujumbe pia kua kias flan cha pesa ni garama ya nin sjui,mara ya kwanza niliuliza wakanielekeza,so nkipga mahesab yangu inakua ni kama 10% ya ile faida wanayonipa bank ndo inachkuliwa...mambo ya kaisari haya daah
 
Pole mkuu ila nime kusoma
 
Huo ni utaratibu rasmi uliowekwa kisheria tena siyo jana wala juzi ni wa muda mrefu sana.

Jitahidi kila unapoweka fedha kwenye Akaunti ya muda Maalum hilo ni lazima uliweke kwenye hesabu zako, kwa mfano umepata faida ya Tshs 1,000,000/= hii ni faida ghafi sasa faida halisi ni baada ya Kodi kukatwa na kwa Akaunti ya Muda Maalum ni Kodi ya Zuio ambayo inakuwa asilimia 10 ya faida ghafi.

Nafikiri nimeeleweka Mkuu.
 
Nikweli mkuu haujaibiwa kwani hiyo inakatwa kisheria kabisa, Hiyo ni withholding tax imeelezewa kwenye Income tax act 2004 section 82.
Licha ya kuelezewa kwenye sheria pia kipato chochote unachokipata ni lazima ulipie kodi labda iwe imesamehewa kisheria.
 
Nachojua kodi hukatwa kwenye ajira, uwekezaji ama biashara sasa mdau hapo wewe umewekeza ndiyo maana faida unakatwa kodi
 
Back
Top Bottom