queen of the jungle
JF-Expert Member
- Mar 17, 2017
- 228
- 429
Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja asipokufa akiwa ni mdogo basi kwenye umri wa miaka 20 au 30 hufariki
Nimejaribu kujiuliza peke yangu naomba mnisaidie kama kuna mtu anawajua mapacha wowote wenye umri zaidi ya 45 na wote wako hai anisaidie kabla sijaendelea na utafiti wangu
Nimejaribu kujiuliza peke yangu naomba mnisaidie kama kuna mtu anawajua mapacha wowote wenye umri zaidi ya 45 na wote wako hai anisaidie kabla sijaendelea na utafiti wangu