Msaada: Nimjibu nini huyu msafiri mwenzangu?

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,322
Wakuu nipo safarini nimekaa siti na mdada ana mtoto mkubwa na mabegi. Gari ni Kosta. Hizi siti ni za mtu mmojammoja tu. Huyu mdada hataki kumweka huyu mtoto katikati ya miguu yake (kumpakata) badala yake kamweka kwenye nafasi iliyopokati yangu na yeye kwa hiyo tumebanana si kawaida. Nimeshaanza kukereeka.

Sasa kaniomba ahamishie vitu vingine kwangu eti mizigo imemzidi. Bado sijamjibu natafakari kwanza. Naomba busara zenu nimjibu nini?
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Kwa lugha nyepesi tu huyo Mdada anautaka Mkuyenge wako pindi mkifika mwisho wa safari yenu. Malizana nae tu Mkuu!
 
hahaha, daah muda mwingine hua nakereka ila baadae najikuta nampa kampani maana ni maisha tu hayo. ukitaka kujua hilo dhahama panda train ya bara ndio utajua
 
Mvumilie tu na pia hali zetu nazo zinachangia sidhani kama naye hapendi kumkatia mwanae siti naye akakaa.

Usichukie msaidie tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom