ATCL msimhujumu Rais Magufuli

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Salaam

Jana nilibahatika kupanda Ndege yetu ya fahari ATC TC 103

Cha kusikitisha kungia ndani ya ndege baadhi ya abiria walikua wakilalama baada ya kukuta ndege ina nafasi nying wazi huku wakijua kuna abiria wengi wamekosa tiketi na ima kubaki ima kutafuta Fast Jet/Usafiri mwingine kwa kuambiwa ATI NDEGE IMEJAA

CHONDE chonde

ATC.jpg
 
nadhani malaika tu ndio wanaweza kuinyoosha Tz, itafika pahala anko atachoka atanawa mikono kama pilato:D
 
Hili Shirika wapewa ET au Rwanda air waliendeshe na kuna haja yakuingia partnership agreement na airline zingine km KLM,emirates, watukodishie mikangafu kwa being chee!
 
Salaam

Jana nilibahatika kupanda Ndege yetu ya fahari ATC TC 103

Cha kusikitisha kungia ndani ya ndege baadhi ya abiria walikua wakilalama baada ya kukuta ndege ina nafasi nying wazi huku wakijua kuna abiria wengi wamekosa tiketi na ima kubaki ima kutafuta Fast Jet/Usafiri mwingine kwa kuambiwa ATI NDEGE IMEJAA

CHONDE chonde

View attachment 512373
Iko wapi Ndege iliyowazi? Mbona naiona iko angani inapaa? Hizi fitina mnazitoaga wapi? Ina maana wakifukuzwa kazi hiyo nafasi utapewa wewe?
 
Mkuu nipo Mwanza muda huu kutokea Bukoba, ATCL imetoka Bukoba na abiria wengi sana, tuliokuwa tunasubiri precision ni kama abiria sita tu, sina uhakika na hicho unachesema ila nadhani ATCL wanapiga kazi kwa sasa..........
 
Back
Top Bottom