Mzungu kafaidi ya duniani weusi tutafaidi mbinguni

kaseva

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
473
305
Wazungu wanaishi kitajiri maisha yasiyo na stress , wengi wao hawawazi njaa na shida ndogo ndogo, wazungu wanadharau hii rangi nyeusi vibaya sana.
Weusi , njaa na sisi, shida na sisi ila wengi wa wafrika tunamjua mungu
Vitabu vya mungu vinaonya kuhusu matajiri kuingia mbinguni
So
Mzungu kafaidi duniani, sisi tutafaidi mbinguniii
Msijaliii eeeee
Tusubiri tu uzima wa milele
Usiku mwemaniiiii
 
Weng hamjamwelewa mtoa mada...nahis anamaanisha,waswahili tumekalia kudeal na maisha ya badae,meaning tunakesha na kuomba for goodlife in heaven akat wenzetu wanachakarika na maisha ili waish vzur,sis tunabak kusali tuu..we have to master our own environment first na hayo ya mbinguni ni majaaliwa..nilivomwelewa mim,..n i think hes ryt
 
Pole sana utasubiri sana na huko mbinguni hutapaona.maana maskini ndio wanaongoza kwa kutenda dhambi hapa duniani. Kwanza bila wazungu wewe usingejua km kuna mbingu au matoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom