Watanzania 11 wapandishwa kizimbani kwa ubakaji Afrika Kusini

Faru fausta

JF-Expert Member
Apr 29, 2017
218
143
bc0cd8f44feba0140629962d694b07a4.jpg


Wanaume 11 ambao ni raia wa Tanzania wamekamatwa na Polisi na kufikishwa Mahakamani wiki hii Johannesburg Afrika Kusini .

Radio na Mtandaoni Johannesburg wiki hii kumeripotiwa kuwa kosa lililofanya Wanaume hao 11 kukamatwa na Polisi ni kumbaka Mwanamke mjamzito mwenye umri wa miaka 22 aliyekua akitoka kazini saa kumi na moja alfajiri.

Mwanamke huyo alikua akitoka kazini na Mfanyakazi mwenzake ambaye ni Mwanaume ambapo ghafla walivamiwa na kundi la Wanaume wenye silaha za moto na wakamvuta Mwanamke huyo kabla ya kumpiga Mfanyakazi mwenzake ambae baadae alifanikiwa kutoroka.

Baada ya Mfanyakazi huyo kutoroka aliwapigia simu Polisi na wakafanikiwa kuwahi eneo la tukio na kukuta Wanaume hao wakimbaka kwa zamu Mwanamke huyo mwenye ujauzito wa miezi mitatu.

Polisi wapatao kumi waliingia kwenye jengo tukio lilikofanyika na kumuokoa Mwanamke huyo aliyekua kwenye hali mbaya ambapo walimpeka Hospitali huku Watuhumiwa wakichukuliwa na kupandishwa Mahakamani siku ya Jumatano.
 
Mmhh hao nao wanatia aibu
Hawajui kupiga sound amaaaaa
Au huko hamna wakununua
 
nilisoma majina yao mtandao mmoja wote ni waisilamu sijui wanamuiga nan kwenye uisilamu aliyekuwa mbakaji


oky kweli nimekumbuka mtume muhamad alibaka katoto kadogo jina kaisha miaka 6 itakuwa ndo wameiga kutoka kwa mtume wao mudy
Unakijua ulichokiandika? Wewe na wao utakuwa na tofauti gani? Wao wamelitia aibu taifa, na wewe nae unataka ulichafue taifa kwa kuandika mambo ambayo kwa makusudi unajua ni ujinga na italeta chuki kwa ndugu zetu waislamu, vingine sio lazima u komenti mkuu jitahidi sana kuitunza nchi yako kwa kuvumilia wachache ambao hamuendani kiimani. Haya Omba radhi sasa
 
Back
Top Bottom