Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu salamu! MwanaJF mwenzetu Slim5 amefiwa na baba yake mzazi leo mchana huko wilayani Mpwapwa, sasa hivi yuko safarini kuelekea mpwapwa kwa ajili ya shughuli za msiba, tumuweke katika sala...
20 Reactions
186 Replies
12K Views
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtaani kwenu wajulikana kama mhandisi, mtangazaji, mkunga, mwalimu, daktari, fundi bomba nakadhalika. Cha kujiuliza, umeufanya kitu gani cha kujivunia mtaani kwenu? Yako mengi ya kufanya kuanzia...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Wasanii kupiga picha za utupu. Kuvalishwa sketi jukwaani.... Inatokea jamii ya watu wengi kulalamikia tabia hizo then inatokea kundi lingine la kupingana na jamii..... Kwamba wasanii hao wako...
0 Reactions
0 Replies
707 Views
Kikosi cha Usalama Barabarani Kanda Maalum Dar es salaam kimekusanya Tsh. 440,000,000 za makosa ya Barabarani kuanzia May 16 hadi 21, 2017.
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kweli hapa ndio bongo ,hapa ndio kwetu hata sio bahati mbaya, kila sekta haiko serious, ebu ona hapa KWENYE SOKA Kiatu cha mchezaji bora hapa tz wanachukua wachezaji wawili, malinzi kaamua maana...
9 Reactions
37 Replies
3K Views
Ndungu wana jamvi habari za asubuhi, ni matumaini yangu kuwa mmeamka salama na mnendelea na shughuli zenu za kulijenga taifa. Hebu tutafakari juu gharama tunazochangia katika sherehe za harusi...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Wasalaam, WanaJF, sijawahi hata siku moja kuisema polisi wetu ila sasa imebidi niliongelee hili jambo kidogo. Polisi wetu wakienda kufanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria, kama ku-arrest,kuvunja...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna gari limekwama hapa Nyakanazi tangu saa tano nasi tumetelekezwa. Msaada wa namba za SUMATRA tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hii channel naiukubali sana lakini nashangaa hadi leo hawapo DSTV infact namiss sana vipindi vyake. E Tv ya majizo imeanzishwa juzi tu lakin wapo DSTV. Mnapoteza viewers wengi sana sababu ya...
5 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wandishi wa habari, leo hii ni mara ya pili nasikia mkiweka mada zisizo na maana kwenye chombo cha habari e-fm. Mfano leo nimesikia mnajadili habari kuhusu wanawake weusi na wanawake...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna hiki kifurushi cha chuo cha 500MB nashangaa huwa kinaisha fasta sijui ni cha kichina? Kinaisha fasta kwa kuperuzi tu bila hata kudownload chochote! Nyie mliowahi kukitumia mnakionaje?
4 Reactions
71 Replies
5K Views
Mtoto wa Mwenyekiti wa Tawi la CCM, Njia Nne, Kibiti, amefariki dunia katika Hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipata matibabu. Mtoto huyo, Nurdin Kirungi, alipigwa risasi ya tumbo Mei 17 mwaka...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Habarii Wakuu!!! Natumaimi mmeamka salama, Ila kuna kero moja imekuwa sugu sana katika jiji letu na sijui mamlaka zinazosimamia hususani Manispaa ya Kinondoni hazilioni hili tatizo...!? Barabara...
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Wanafunzi 3 wa shule ya msingi Butwa iliyopo kata ya Izumacheli, mkoani Geita wamezama katika kisiwa cha Butwa katika Ziwa Victoria walipokuwa wanatoka shuleni. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Salam ndugu zangu nyote, poleni na mihangaiko ya kutwa nzima. MSAADA kuhusu uhamisho TAMISEMI. Ndugu zangu, naandika juu uzi roho yangu ikiwa inasononeka kweli. Mm ni mtumishi wa umma (Serikali...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Habarini za asubuhi wakuu, wadau naombeni mnielekeze.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu hebu angalieni wenyewe huu utendaji wa BRELA.Na. Hapo ni kwenye kuomba kuhakiki tu kampuni aisee mwezi mzima kitu cha kuangalia kwenye mtandao wao hivi hawa BRELA wanaakili kweli?
1 Reactions
0 Replies
654 Views
Kwa sababu za kiusalama, Jeshi la Polisi jijini Arusha limesema muda si mrefu litaanza kukamata magari yenye vioo vyeusi (Tinted) za kuongezea. Msako utahusu magari yote yasiyoonesha watu ndani...
0 Reactions
4 Replies
998 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…