TANZIA: MwanaJF Slim5 amefiwa na baba yake mzazi

ram

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
9,251
8,337
Wakuu salamu!

MwanaJF mwenzetu Slim5 amefiwa na baba yake mzazi leo mchana huko wilayani Mpwapwa, sasa hivi yuko safarini kuelekea mpwapwa kwa ajili ya shughuli za msiba, tumuweke katika sala afike salama lakini pia Mungu akawe faraja kwao katika kipindi hiki kigumu.

Mungu aipumzishe roho ya baba yetu mpendwa mahali pema peponi......ameeen!

Updates!

Wapendwa habari za asubuhi!
Ndugu yetu Slim5 alifika salama Mpwapwa, shughuli za msiba zinaendelea vizuri, ratiba inaonesha leo saa kumi watamsitiri mzee wetu katika nuymba yake ya milele.
Kwa wale mtakaoweza kumtumia rambirambi basi namba yake ya simu ni +255717210880
ahsanteni sana!
 
Pole sana mkuu slim 5 Allah ampokee baba yetu na amuhifadhi katika daraja la juu kabisa peponi Amiin
 
Back
Top Bottom