East Africa Tv mnasubiri nini kujiunga DSTV

Grena

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
657
1,554
Hii channel naiukubali sana lakini nashangaa hadi leo hawapo DSTV infact namiss sana vipindi vyake. E Tv ya majizo imeanzishwa juzi tu lakin wapo DSTV.
Mnapoteza viewers wengi sana sababu ya vitu kama hivi. Kindly fanyeni mpango muongee na multchoice tuwaone DSTV.
 
Back
Top Bottom