Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,015
- 2,191
Kwa sababu za kiusalama, Jeshi la Polisi jijini Arusha limesema muda si mrefu litaanza kukamata magari yenye vioo vyeusi (Tinted) za kuongezea. Msako utahusu magari yote yasiyoonesha watu ndani.
Wamiliki wa magari wametakiwa kuacha mara moja kuongezea mkolezo kwa sababu wakibainika watalazimika kujibu sababu za kufanya hivyo
Nimefikisha!
Wamiliki wa magari wametakiwa kuacha mara moja kuongezea mkolezo kwa sababu wakibainika watalazimika kujibu sababu za kufanya hivyo
Nimefikisha!