Where we are heading.

Qunax

Senior Member
Oct 16, 2016
100
127
Wasanii kupiga picha za utupu. Kuvalishwa sketi jukwaani.... Inatokea jamii ya watu wengi kulalamikia tabia hizo then inatokea kundi lingine la kupingana na jamii..... Kwamba wasanii hao wako kikazi na ndio sanaa inavyotaka, mbona profesor Jay hajawah kupiga pcha za utupu na mziki ulimnyanyua? Hii ni dalili kwamba hata siku ushongwa ukiletwa rasmi bado kuna kundi litatetea, Alikiba ni show ngap kapiga akiwa amevaa kawaida na zikahit? Ben paul ni nyimbo ngapo katoka bila kupiga picha za uchi na zikahit? Ipo siku mwanamme atachomekwa dudu jukwaani na bado kuna watu watasuport, sio kila kitu lazima tubishe vitu vingine tunatakiwa tukubaliane tu kuwa ndugu zetu wameteleza..... Hawa whites wanafanya kila aina ya figisu kueneza ushoga duniani.
 
Back
Top Bottom