Msaada: Makao makuu ya TUICO yapo mtaa upi?

Kama Dar Es Salaam, yapo karibu na chuo cha uandishi wa habari DSJ, ukitokea Buguruni shuka nadhani ni gereji, mkono wako wa kushoto uliposhukia ukiuliza utaelekezwa kwa urahisi. Au shuka njia panda ya DSJ japo nadhani ni msaada, uliza zilipo hosteli zao za nje, nyoosha kwa mbele utaona hizo ofisi. (Mshikamano)
 
Back
Top Bottom