Bongo sio bahati mbaya

Oxpower

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,162
3,055
Kweli hapa ndio bongo ,hapa ndio kwetu hata sio bahati mbaya, kila sekta haiko serious, ebu ona hapa

KWENYE SOKA

Kiatu cha mchezaji bora hapa tz wanachukua wachezaji wawili, malinzi kaamua maana hakuna sheria iliyowahi kuwekwa endapo hali kama hii itatokea

KWENYE UREMBO -MISS TANZANIA

Huku sasa ni balaaa, kwenye mashindano ilionyeshwa IST mpya,
Lakini siku anapewa kapewa kagari kametoka garage sijui million moja kale

KWENYE SIASA -BUGENI

Mbunge anasema, humu ndani wabunge wote tumepata ubunge kwa kuroga na kama wapo ambao hawakuroga basi hawazidi watatu

KWENYE MZIKI
huko kiba kajipodoa, kavaa matiti, sket, brazia, kiremba, shanga, hereni ,mixer mauno et ubunifu, Mara ben kaonyesha tako hadharan

MSIBANI
Rc Arusha na kamati yake wameamua pesa ya rambi Rambi ikakarabati hospital ha ha ha haaaa maafa yasingetokea hiyo hospital ingejuta

Ongezea raha zingine, hapa ndio bongo land, kila idara vituko
 
66702.jpg

Bila JF na hayo yote ktk mada nisingeweza kuyawasilisha na watu wakayasoma popote pengine!!!
 
Ila kwenye mziki hukufanya utafiti wa kutosha,maana Kiba alikuwa akiimba wimbo wa Brenda Fassie. Mwanamuziki wa Africa Kusini. Ni marehemu,huenda humjui. Ilimlazimu kujaribu kuvaa uhalisia. Na kwa kiasi kikubwa alifanya vizuri katika hilo tamasha.
Bongo hatupeani support hasa kimataifa kaz kuzodoana

*alikiba
*diamond
*kanumba
*idris
 
apo veeeepeeee wadau. Ii imekaa mwake xana. Teh teh
(Kiswahili kimekuwa kigumu sana kwemye uandishi)
alafu, ivi,mziki, xaxa, thanx,icho, asubui,ndo n.k
Rambi rambi ndiyo mpango mzima kwa sasa
''Ukiwa na veherehani vinne hicho ni kiwanda''
 
Inasikitisha sana...

Kwa bongo hayo ni madogo sana... nchi za wenzetu, wanatembea uchi kabisa... kuna maeneo ruksa kufanya ngono hadharani...


cc: mahondaw
 
Hii ndo bongo bwana,

Watu wako msibani wengine wanatokea na kusema hawakupewa mda na wao waongee hii ni hatari.

Waziri anasema wananchi kuleni nyasi ndege ya raisi lazima inunuliwe.

mbunge anasema wabunge wenzake wa chama furani wanafikiri kwa kutumia makalio.

Mbunge mwingine anasema mimi siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom