Msaada namba ya SUMATRA Kahama au Kigoma

Kajolijo

JF-Expert Member
May 30, 2016
3,364
4,612
Kuna gari limekwama hapa Nyakanazi tangu saa tano nasi tumetelekezwa.

Msaada wa namba za SUMATRA tafadhali.
 
Kuna gari limekwama hapa nyakanazi tangu saa tano nasi tuetelekezwa... msaada wa namba za sumatra tafadhali
Nipatie details za hilo basi:
Namba ya usajili
Jina la Kampuni
Safari yenu ni ya kutoka wapi kwenda wapi na yapi ni maelezo ya wahudumu wa basi kufuatia hali hiyo
 
Back
Top Bottom