LEO OJIJO MESSI
Member
- Jan 27, 2015
- 50
- 70
Wasalaam,
WanaJF, sijawahi hata siku moja kuisema polisi wetu ila sasa imebidi niliongelee hili jambo kidogo. Polisi wetu wakienda kufanya shughuli zao kwa mujibu wa sheria, kama ku-arrest,kuvunja shughuli ya watu au mikusanyiko, ku-pigwa fine n.k watakuambia wametumwa na mtu fulani. Sasa najiuliza hii ndiyo ethics zao au? Rejea suala la Meya wa Arusha hivi karibuni na wengine kukamatwa, hivi ili kuwakamata mpaka wajitetee kuwa wametumwa na mtu fulani? Na kwanini wanahusika kujitoa kuwa wao ndo wanafanya kwa mujibu wa sheria.
Isitoshe suala la ushirikiano na wananchi imekuwa siyo ya kuridhisha maana wananchi wanalalamika kuwa wakitoa habari au kuwatonya kuhusu wahalifu hao wahalifu baadae wanawarudia kuwatishia,kuwapiga au kuua.
Mimi sifurahishwi kabisa.
Nawasilisha maoni.