"Iraq and the Bible"
Very interesting,!!!
DID YOU KNOW?
〰〰〰〰〰!
1. The garden of Eden was in Iraq.
2. Mesopotamia which is now Iraq was the cradle of civilization!
3. Noah built the ark in...
Wakuu mtu atakaye wezesha kunipatia kitabu chenye hadithi za bulicheka na wagigi koko atakuwa amenitendea wema mkubwa sana, nakihitaji iwe soft au hard copy though ningefurahi zaidi kwa hard copy...
Ukiangalia sasa sijajua ni kwenye ving'amuzi vyote au la, ila kwa kupitia ZUKU ,sauti za watangazaji na za muziku ziko ovyo sana, kama vile mtu,ame overload kwenye mixer yani mikwaruzo ya treble...
Wakuu dakika 5 zilizopita ,kuna tetemeko dogo la ardhi limepita mjini Kati mwanza hapa
Ghorofa nliyopo limetetemeka kiaiana na wafanyakazi kuingiwa na hofu
Sijui ndugu zetu Bukoba wamepona manake...
Nimeshindwa kupata tafsiri sahihi ya neno mandate, ila kiuhalisia ni kwamba kumekuwepo kwa matukio mengi yakihusisha maadili ya jeshi la polisi kuanzia kikosi cha usalama barabarani, usalama wa...
Ukijaribu kuvaa viatu vya wanahabari utahisi visivyokuwa vya kawaida ila wao wamelala hawana Habari.
Ukiangalia miondo ya vyama na malengo ya vyama vya wafanyakazi utaona kuwa ni ngumu sana...
Wakuu wenzangu poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa letu.
Naomba nijitambulishe, mimi ni mwalimu wa shule za English medium, yaani shule za mchepuo wa lugha ya kiingereza.
Huwa nafundisha...
Tumezuia usafirishaji wa mchanga wa dhahabu na other un-beneficiated ore, Je kuna research yoyote ambayo tunaifanya kujua ni gharama kiasi gani ku Install hizo smelters for beneficiaton?
Report...
Amani kwenu wadau
Kichwa chajieleza hapo juu. Kwa wajuzi wa taratibu za bunge naomba anifafanulie kama nilivyouliza hapo juu. Zaid naomba kujua lile lifimbo likubwa lina rangi ya dhahabu,hubebwa...
Eti wakuu na nyinyi mnaonaje ,si bora hizo pesa wanazozielekeza jeshini kwa hawa form six wanaojiunga na jeshi kwa mujibu wa sheria si bora zingetumika kuwapatia tu mikopo kwa wanachuo
Maana ni...
Katika mashindano,yaliondaliwa na Alhikima,katika uwaja wa Uhuru,Dar es Salaam.Mshidi huyo kwa Jina la Ismail Kambi Mgeni,alipata zawadi ya gari aina ya Noah,yenye thamani ya milioni 14,pamoja na...
Habari wakuu,
Huku bado tukiwa bado tunauguza vidonda vya maumivu ya ajali iliyochukua roho za watoto wetu huko tanga napo basi aina ya coaster imegonga lori kwa nyuma na vimeripotiwa vifo...
Ona habari picha hapo chini
Shares in Tanzania-focused gold miner Acacia Mining fell as much as 12 per cent on Wednesday morning after the Tanzanian government accused it of under-reporting the...
Heshima kwenu wanajamii,
Nimekuwa mdau na mfatiliaji mzuri wa makala za huyu jamaa The Bold hakika anatumia nguvu nyingi sana katika kutafuta habari mbalimbali na kutuletea humu ndani ( kwa wale...
Inashangaza leo lumumba buku 7 fc wamelipuka kwa shangwe na hata kumgeuka Muhongo ambaye walikuwa wanasemaga anataka kutolewa sababu ya Mengi Reginald
Haya mautumbo yote ni matunda ya uongozi...
Namtaja Mtu halafu hapo hapo nasema kuwa ni rafiki yako na unampenda ila tu katika jambo fulani unamtaka ajifikirie na ajitafakari huku ukiwa umekunja uso / umefura na hapo hapo ukamaliza Kikao na...