[emoji23] [emoji23] [emoji23]Leo ndo nimejua nyumbu wengi humu ni jobless ndio maana wana miroho iliyojaa CHUKI-NYONGO Kaliiii
baba jeska ataua watu mwaka huu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaonaje ukiwataja mkuu
unafosi kingi na ww..ukiona hivo ujue madeni yamekuwa mengi mtaaniUtaingia jioni
tupe source sasa ya taarif yako.kwamba wengi humu hawana kaziLeo ndo nimejua nyumbu wengi humu ni jobless ndio maana wana miroho iliyojaa CHUKI-NYONGO Kaliiii
Mishahara ishatoka tangu leo asubuhi saa 4, lakini nyumbx hawajui chochote lakini wanalazimisha kukizungumzia - check wanavyokanyagana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaonaje ukiwataja mkuu
muhasibu anaumwa mafua atarudi baada ya siku 20 ...vumilia tuumeme ulikatika kwenye system tunabadilisha wire...acha kelele
Mpaka Bashite aruhusuBado wanaondoa wenye vyeti "feki" kwenye payroll kwanza.
Wakishajua chenji itakwenda anakotaka bwana mkubwa, mshahara au masihara utatoka baadaye .
Kesho yake mkubwa ataanza ziara za kushtukiza na kuahidi kuwapelekea hela kesho yake
Tayari mkuu, kitaa watu wanalia balaa.baba jeska ataua watu mwaka huu