chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,392
- 24,963
Habari wakuu,
Huku bado tukiwa bado tunauguza vidonda vya maumivu ya ajali iliyochukua roho za watoto wetu huko tanga napo basi aina ya coaster imegonga lori kwa nyuma na vimeripotiwa vifo kadhaa.
Updates zinakuja zaidi..
Kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa Waliofariki kwenye ajali ya basi aina ya Coaster ni Wanne 4, wawili wanaume na wawili wanawake na
Majeruhi ni 15 ambao wamekimbizwa Hospital ya Teule Muheza kwa matibabu zaidi.

Ajali mbaya imetokea eneo la Lusanga Muheza. Basi aina ya Coaster ikitokea Tanga kuelekea Korogwe, imegonga lori kwa nyuma na kusababisha vifo vya watu. Ni usiku huu.
Bado nafuatilia habari hii kwa kina