Mwanza limepita Tetemeko sijui wenzetu Kagera wako salama

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
Wakuu dakika 5 zilizopita ,kuna tetemeko dogo la ardhi limepita mjini Kati mwanza hapa
Ghorofa nliyopo limetetemeka kiaiana na wafanyakazi kuingiwa na hofu
Sijui ndugu zetu Bukoba wamepona manake ukiona tetemeko mwanza basi jua limetokea Bukoba
Tujuzane wana BK mpo salamaa au mwafwaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom