ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Inashangaza leo lumumba buku 7 fc wamelipuka kwa shangwe na hata kumgeuka Muhongo ambaye walikuwa wanasemaga anataka kutolewa sababu ya Mengi Reginald
Haya mautumbo yote ni matunda ya uongozi mbovu na wabunge wabovu wasiojitambua wa ccm waliojawa roho mbaya na tabia za kujipendekeza na mbaya zaidi hawajiamini kabisa
Hapa ni clip ya 2015 kabla JK hajamaliza muda wake alipoharakisha muswada wa gesi na petroli bungeni usainiwe harakaharaka usiku eti ni maslahi ya taifa,the very same thing ilifanyika kwenye hii mikataba ya madini mwaka 1997 chini ya Mkapa ambaye hata kuan mwaka alitembelea huko mgodini akapewa tofali lake la dhahabu kuuubwaa na vicheeko juuuuu, damn it.Bado bomu la hiyo mikataba ya gesi na petroli iliyopitishwa kwa usiku mmmoja na wabunge walafi wa ccm.
Mbaya zaidi wakati hiyo petrol itakapoanza kuchimbwa miaka hiyo idadi ya wajinga na waoga itakuwa imepungua,kizazi hiki cha instagram kitakataa kuburuzwa maana hawataona faida ya petrol kutokana na mswaada uliopitishwa in 2015,kama leo huko shinyanga raia wanapiga mawe makontena yanayobeba michanga itakuwaje miaka kama ya 2030 si vita sasa jamani?