Naja naja
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 747
- 1,453
Eti wakuu na nyinyi mnaonaje ,si bora hizo pesa wanazozielekeza jeshini kwa hawa form six wanaojiunga na jeshi kwa mujibu wa sheria si bora zingetumika kuwapatia tu mikopo kwa wanachuo
Maana ni upuuzi wanachuo wanalazimika kusitisha masomo kwa kukosa mkopo wakati huo huo serikali inatenga kifungu kikubwa kwa mafunzo ya jeshi ambayo wanafunzi wengi wanayakimbia
Halafu kwenye kuchagua kwenda jeshi serikali haibagui waliosoma private na govt wote wanachaguliwa lakini kwenyr suala la mkopo wanabagua huu ni us**ge