Aliye nacho kitabu cha hadithi za bulicheka na wagigi koko

124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,813
5,512
Wakuu mtu atakaye wezesha kunipatia kitabu chenye hadithi za bulicheka na wagigi koko atakuwa amenitendea wema mkubwa sana, nakihitaji iwe soft au hard copy though ningefurahi zaidi kwa hard copy!

Iwe kwa kuniuzia au kunielekeza wapi naweza kununua.

Natanguliza shukrani
 
Wakuu mtu atakaye wezesha kunipatia kitabu chenye hadithi za bulicheka na wagigi koko atakuqa amenitendea wema mkubwa sana nakihitaji iwe soft au hard copy though ningefurahi zaid kwa hard copy!
Iwe kwa kuniuzia au kunielekeza wapi naweza kununua.

Natanguliza shukrani
Njoo PM
 
Nenda kwenye Bookshop/Book point iliyo karibu nawe
Iliyo karibu nami nimeitembelea kwa vita vya zamani nimepata alfu lela ulela na hadith za alan quarterman.
Tena alfu ulela ulela wamevikata kata kupata hadithi zote vinafika vitabu kumi ambavyo inagharimu almost 200k
Kama unaijua book shop yenye hicho kitabu tafadhali nijulishe na endapo jiografia ikiwa tofauti sana naweza kukupa pesa uninunulie then ufanye shiping kwa niaba yangu!
 
Poa mkuu ila sasa hivi nimetingwa ningekusaidia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom