Hiki Kitendo Kisaikolojia kinatuambia nini au kinatufunza nini?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
59,949
119,214
Namtaja Mtu halafu hapo hapo nasema kuwa ni rafiki yako na unampenda ila tu katika jambo fulani unamtaka ajifikirie na ajitafakari huku ukiwa umekunja uso / umefura na hapo hapo ukamaliza Kikao na kuondoka eneo la tukio ukiwa umenuna lina maana gani hasa katika upande wa Saikolojia?

Nayasubiria kwa bashasha kubwa sana maoni yenu Wakuu.

Nawasilisha.
 
Mkuu hapo lazima huyo aliyekuwa katika hali hiyo atakauwa amevurugwa ukizingatia alikuwa akiongea kwa kujiamini kabisa kuwa mlikuwa hamumtaki ila nimemleta huyo huyo msiyemtaka.

Then leo anakuja kumuangusha bila kutarajia ndio maana ya hayo maneno na hiyo sura iliyokunjwa kama chapati sijui.
 
Be wary of friends they will betray you more quickly,for they are easily aroused to envy.

They also become spoiled and tyrannical.
But hire a former enemy and he will be more loyal than a friend,because he has more to prove.

In fact you have more to fear from friends than your enemies.

If you have no enemies, find a way to make them.- ROBERT GREENE
 
Magufuli alisha sema hakuna kuangalia Sura
hii nipicha kwa wale walio kuwa wakisema ana visasi rahasha
huyu katanguliza uzalendo mbele
hana rafiki wakudumu kwenye mambo muhimu ya Taifa
Mwenyezi mungu endelea kumlinda Rais wetu
 
Hii kitu nimeikubali ase

My best friend nilimdhamini kumpa kitu anishikie akakimbia nayo nikabaki na butwaa bila kuamini.

Robert green kwahili nimemkubali
 
Magufuli alisha sema hakuna kuangalia Sura
hii nipicha kwa wale walio kuwa wakisema ana visasi rahasha
huyu katanguliza uzalendo mbele
hana rafiki wakudumu kwenye mambo muhimu ya Taifa
Mwenyezi mungu endelea kumlinda Rais wetu
Kama haangalii sura, ina maana huyu kaangukia pua kwa kuwa hana msambwanda?
 
Namtaja Mtu halafu hapo hapo nasema kuwa ni rafiki yako na unampenda ila tu katika jambo fulani unamtaka ajifikirie na ajitafakari huku ukiwa umekunja uso / umefura na hapo hapo ukamaliza Kikao na kuondoka eneo la tukio ukiwa umenuna lina maana gani hasa katika upande wa Saikolojia?

Nayasubiria kwa bashasha kubwa sana maoni yenu Wakuu.

Nawasilisha.
Wakati wa sakata la ESROW ilisemwa kuwa huyu Mpishi hafai kusimamia hilo jiko, lakini Mwenye Hoteli akamweka jikoni kama sehemu ya kuwakomoa wanaomezea mate mapishi, sasa Mpishi ameweka gunia la pili pili kwenye supu, mwenye hoteli akifikisha tu usoni anapiga chafya !!!!
 
Be wary of friends they will betray you more quickly,for they are easily aroused to envy.

They also become spoiled and tyrannical.
But hire a former enemy and he will be more loyal than a friend,because he has more to prove.

In fact you have more to fear from friends than your enemies.

If you have no enemies, find a way to make them.- ROBERT GREENE

We often tend to underestimate the power of our mind. But the truth is, our mind can take in more than we can even imagine. So it is never time to stop learning new things.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom