Clouds tv sauti yenu ina mikwaruzo!

Ghosryder

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
10,381
4,355
Ukiangalia sasa sijajua ni kwenye ving'amuzi vyote au la, ila kwa kupitia ZUKU ,sauti za watangazaji na za muziku ziko ovyo sana, kama vile mtu,ame overload kwenye mixer yani mikwaruzo ya treble iko juu sana mpaka kero! Rekebisheni, mna wataalam wengi sana wa sauti, ukianzia baba lao Born love na wengine.
 
Kwa baadhi ya vingamuzi walipotea kwa takriban siku 2 leo ndio wamerudi na hicho kikohozi!
 
Back
Top Bottom