Kama umekulia vijijini kama mimi hasa vijiji vilivyo mikoa ya nyanda za juu kusini basi huwezi acha kumjua huyu dada maarufu kwa nyimbo zake maaraufu kama nyimbo za "ntombi" au "funk 36" kwani...
Hifadhi hii iko chini ya TANAPA, ilianzishwa mwaka 1962 ikiwa ni pori la akiba. Mwaka 2005, ilipandishwa hadhi rasmi na kuwa hifadhi ya taifa.
Mbuga hii ipo Mikoa ya Pwani na Tanga, kwa upande...
Salaaam
Wakuu bila shaka wote ni wazima wa afya njema, na wote tupo katika mstari au foleni ya kugombea HAKI yetu, Wakuu, yawezekana wengi hatujui haki zetu, wakuu, haki zetu sio magari, majumba...
Could what is reported in the following interview explain why our natural resources are being plundered with us not showing serious concern about it?
Excerpts from an interview with a Jewish...
Sio kwamba najifanya mjuaji lakini ukweli naona kama Tanzania iko busy na mambo mengine ya ajabuajabu kama kuwakamata kina Yeriko nyerere nyumbani kwao saa saba usiku wakati kuna vitu kiukweli...
Shule inayomilikiwa na wawekezaji wa Uturuki yafungwa Rwanda
Ikumbukwe
Ubalozi wa uturuki hapa nchini ulitaka serikali kufunga shule za Feza kwa madai kuwa zinatoa mafunzo ya ugaidi, na...
Nimesikitishwa na kitendo cha ajabu kilichofanywa na hii bank inayojitapa imefikisha miaka 50.
kutowaingiza wateja mikopo yao waliomba tangu mwezi wa na yameshaanza kwenye mshahara wa mwezi wa...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu hali ya usalama nchini na suala la mauaji ya wananchi mkoani Pwani.Kulia ni...
Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, imewasimamisha kazi watumishi sita kwa tuhuma za uhujumu uchumi, wakidaiwa kutafuna shilingi milioni 222, fedha za Uchaguzi Mkuu wa 2015 na ushuru wa Kakao...
Baada ya kumaliza darasa la saba ,kidato cha nne na kidato cha sita wanafunzi wanalazimika kukaa mitani kwa muda mrefu wakisubiri matokeo ya mitihani yao na baada ya matokeo wanalazimika kukaa...
Ni hatari sana majanga,misiba na kila aina ya ajali inapotokea inakuwa neema kwa upande fulani. Sitaki kuamini kufa kufaana lakini sasa nimeanza kuamini kutokana na uhalisia uliopo. Lilipotokea...
Kwenye sherehe za mbio za Mwenge unapigwa wimbo wa "Mwanaume -Mashine" wa Msaga Sumu, na wimbo wa Bonta-Marifa ,"Zero" haupigwi na hauna nafasi hata ya kuzungumziwa katika mbio za Mwenge...
Nina swali moja kwa Rais Magufuli na Makonda.
Kati ya watanzania milioni 50 je ni idadi ya Watanzania wangapi walikuwa ni wapiga dili na wauza Unga? Maana now kila mtu akiwa na wazo tofauti na...
Serikali imetangaza kuanzia June 2 hadi 4, 2017 Watanzania wataingia bure katika Mbuga na Hifadhi za Wanyama nchini kote ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Tanzania ambayo...
Hivi karibuni serikali imetangaza rasmi kuwa kuanzia mwaka huu maombi yote yanayohusu kutaka kudahiliwa kujiunga na vyuo kwa kozi yoyote yatatumwa Moja kwa Moja kwenye vyuo husika
Katika hili...
Leo tarehe 2 June 2017,naomba kijana mwenzangu usikate tamaa kwa jambo lolote lile ,nusu mwaka tayari siku ya leo ya Ijumaa ,kuelekea katika kutimiza malengo yetu ,Mwenyezi Mungu ametupa uzima na...
Kwa mfano mtu amepata taarifa kuhusu jambo la uhalifu lililopangwa kutokea, Let say Kuna mipango inayosukwa kwaajili ya mlipuko wa bomu mahali fulani, na mtu huyo baada ya kupata siri hizo akaamua...
Enyi wadau!
KWANINI PAKA HUTUMIKA
katika viumbe vya kufugwa na mwanadam,Paka hawezi muona mchawi, ni kipofu kabisa, ndo maana anatumwa, Paka ameonekana kuwa kiumbe kinachotumiwa sana na wachawi na...
Jamani waku za asubuhi, samahani kama nitawakwanza, Ila nimeota ndoto Maji yanakuja kwa kasi nchi kazi na kukukimbia Sanaa ila mwisho ya siku hayakunidhuru niliweza yashinda, JE NDOTO HII...