NBC kuna nini?makato yameanza Mkopo bado kuingizwa

siti ya mbele

Senior Member
May 3, 2017
183
145
Nimesikitishwa na kitendo cha ajabu kilichofanywa na hii bank inayojitapa imefikisha miaka 50.
kutowaingiza wateja mikopo yao waliomba tangu mwezi wa na yameshaanza kwenye mshahara wa mwezi wa tano.
Tumefika tawi la NBC Nyanza Mwanza tulikoombea Mkopo ,wakadai ni uzembe wa makao makuu, hivi kwa hali ya ushindani wa kibank urasimu wa nini?
Nawakumbusha mjitathimi wakati mkisherekea miaka 50 na Kama ni uzembe wa NBC mwanza chukueni hatua watawaharibia
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom