Kifo ndio haki ya kila mtu hapa duniani

sonjames

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
289
385
Salaaam
Wakuu bila shaka wote ni wazima wa afya njema, na wote tupo katika mstari au foleni ya kugombea HAKI yetu, Wakuu, yawezekana wengi hatujui haki zetu, wakuu, haki zetu sio magari, majumba na madola au mashamba au chochote, haki ya kila mtu hapa duniani ni KIFO pekee. Kifo ndicho haki ya kila mtu humu duniani, mwingine anaweza asielewe lkn utaelewa tu, ila hii haikuwa maana ya kuleta Uzi hapa, maana yangu ni hii. TANGU NIJIUNGE JF, LEO NIMEPATA JAMBO AU SOMO AMBALO LIMENIFUNGUA, NA SOMO AMBALO LINANIFANYA NIJUTE MENGI HAPA NILIPO, asanteni wakuu, wana JF
 
Pigania haki yako Mkuu.

Itafute KIFO mapema. Kila la kheri, angalia wasikudhulumu haki yako.
 
Kuna watu wanatumia kifo kutisha watu ili waendane na matakwa yao.
 
Kuishi ni wajibu kifo ni lazima
Na hii ndiyo maana halisi ya Uzi mkuu, maana pesa waweza tafuta weeee na bado usifanikiwe ktk malengo uliyojipangia, it means kuwa hii sio haki, but kile cha lazima ndicho cha haki, wachache ndio wanaolielewa hili
 
Back
Top Bottom