Ningependa kujua idadi ya wapiga dili nchini Tanzania

Emmadogo

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
4,126
3,762
Nina swali moja kwa Rais Magufuli na Makonda.

Kati ya watanzania milioni 50 je ni idadi ya Watanzania wangapi walikuwa ni wapiga dili na wauza Unga? Maana now kila mtu akiwa na wazo tofauti na mfalme basi yeye ni mpiga dili au muuza ngada.

Embu tuambieni ni wangapi kati ya hao milioni 50?
 
Kama unafuatilia kila mara Rais anapoingilia dili flani utawasikia wanaotokwa na povu...jikumbushie idadi ya madili yaliofungwa na Mh Rais halafu waliojitokeza kulialia utapata hiyo idadi.
 
Wapiga dili ni hao hapo, 2 Timotheo 3:2-5 "Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi, wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao".
Watafute hao kati ya 50 million utawapata idadi yao.
 
kwa maana hyo ALBERT Bashite nae mpigadili ?kwakufuata mandiko haya MAKONDA anapita n a kufaa kuwa mpigadili alietukuka,maana hatak suluhu na mtu,hapendi wa kwao,msingiziaji,kiburiii,anapenda fweza,anajipenda mwenyewe,kujivuna..........shikamoo mkuu BETHELI
 
Wapiga dili ni hao hapo, 2 Timotheo 3:2-5 "Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi, wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao".
Watafute hao kati ya 50 million utawapata idadi yao.
Jibu murua
 
Kama unafuatilia kila mara Rais anapoingilia dili flani utawasikia wanaotokwa na povu...jikumbushie idadi ya madili yaliofungwa na Mh Rais halafu waliojitokeza kulialia utapata hiyo idadi.

Aingilie na madili haya ndio tutamuamini kuwa yeye yuko serious

  1. EPA
  2. ESCROW
  3. LUGUMI
  4. Nyumba za serikali kuwawiwa bure
  5. Mv Bagamoyo
  6. Minofu ya samaki ya wachina
 
Kama unafuatilia kila mara Rais anapoingilia dili flani utawasikia wanaotokwa na povu...jikumbushie idadi ya madili yaliofungwa na Mh Rais halafu waliojitokeza kulialia utapata hiyo idadi.
Wote wako chi chi em huko

OvA
 
Wapiga dili ni wale wanaokula rambi rambi

Kumuweka MPIGA DILI katika tafsiri ya wale wanao kula VIPESA vya RAMBIRAMBI ni kuidhalilisha TAALUMA/FANI husika....!!

Mpiga DILI anapatikana katika MADILI kama ESCROW, MANUNUZI YA RADA, UUZAJI WA NYUMBA ZA SERIKALI. UJENZI WA MRADI WA DARAJA KIGAMBONI, UNUNUZI WA NDEGE USIO FUATA VIGEZO, RICHMOND, UNUNUZI WA VIVUKO,USAFIRISHAJI WA MAKONTENA YA DHAHABU TUKIDAI NI MCHANGA (MAKAPI)....na mengine mengi yanafuata..

MPIGA DILI si mtu wa kula RAMBIRAMBI labda kama ana LAANA..
MPIGA DILI ndie huyu anaeitwa MCHUMA JANGA na wahenga wanasema huwa anakula na WAKWAO (hula na wenzie)
 
Wapiga dili ni hao hapo, 2 Timotheo 3:2-5 "Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi, wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao".
Watafute hao kati ya 50 million utawapata idadi yao.
Nadhani kwa hili neno ina maana milioni 50 wote ni wapiga dili akiwepo mkulu maana ana kiburi kujisifu etc so asiwapigie kelele wengine
 
wapigadili wanakadiriwa kuwa si chini ya mil 30 tukianza na
1 wanafunzi wa vyuo vikuu waliokosa mikopo

2 walimu wote wa sanaa ambao hawajaajiriwa serikal haiwez kuajiri wapigadili

3 watu wote wanaokumbana na hali ngumu ya maisha tangu tuingie awamu ya 5...

orodha ni ndefu sana tuishie hapo
 
Back
Top Bottom