Nini faida ya wimbo wa Msaga Sumu 'mwanaume mashine' katika sherehe za mwenge?

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
Kwenye sherehe za mbio za Mwenge unapigwa wimbo wa "Mwanaume -Mashine" wa Msaga Sumu, na wimbo wa Bonta-Marifa ,"Zero" haupigwi na hauna nafasi hata ya kuzungumziwa katika mbio za Mwenge.

Najiuliza faida ya Mwenge ni zipi! Na Msaga Sumu na wimbo wake "Mwanaume Mashine "una faida gani katika mbio za Mwenge.

Tanzania kuibiwa rasimali zetu tunastahili sababu kwenye vita ya utashi sisi ni washiriki na sio washindani.Kwa sasa tunajadili "Jaza Ujazwe" tatizo la ajira tumekwisha sahau.

Umri umeanza kunitupa mkono sababu naona pekee yangu uchafu kwenye usafi, wengine wanaona ni sahihi uchafu kukaa kwenye usafi. [HASHTAG]#Conscious[/HASHTAG]
 
Sasa umedharau mwenge kwa sababu ya kutopiga nyimbo ya ndugu yako au ni kitu gan. Kwa mwenge huu hata upigwe wimbo wa taifa bado hauna tija kwa taifa.
 
Back
Top Bottom