Ndoto hii ina maana gani?

kapagawa

Member
Feb 20, 2017
33
34
Jamani waku za asubuhi, samahani kama nitawakwanza, Ila nimeota ndoto Maji yanakuja kwa kasi nchi kazi na kukukimbia Sanaa ila mwisho ya siku hayakunidhuru niliweza yashinda, JE NDOTO HII INAASHIRIA NN MAANA NAHISI IMENIKOSESHA AMANI
 
We mchawi ila bado hujitambui, nenda kwa wataaramu waamushe nguvu hio uwezee itumia na kufaidi ulicho jaliwa
 
Jamani waku za asubuhi, samahani kama nitawakwanza, Ila nimeota ndoto Maji yanakuja kwa kasi nchi kazi na kukukimbia Sanaa ila mwisho ya siku hayakunidhuru niliweza yashinda, JE NDOTO HII INAASHIRIA NN MAANA NAHISI IMENIKOSESHA AMANI
utapata majaribu,misukosuko maishani mwako soon,ila pamoja na hio misukosuko,utayashinda majaribu yote.kua mvumilivu,tulia,muombe Mungu akupe nguvu ya kushinda,au msihi Mungu ayabatilishe yote in jesus name
 
Ndoto ina ishara kuwa kuna mambo yatakuzonga sana na utakuwa ktk wakati mgumu kimaisha japo hutaharibikiwa moja kwa moja ila utapata mtihani sana. Nakushauri sali sana na uwe unatoa sadaka ili Mungu akuepushe na dhoruba hizo.
 
Mi juzi niliota bombardier moja inapata ajali uwanja wa ndege wa bukoba ikaungua yote na raia waliokuwemo niliumia sana umo ndotoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom