Fahamu kwanini mbwa hatumiwi na wachawi

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,636
22,265
Enyi wadau!
KWANINI PAKA HUTUMIKA

katika viumbe vya kufugwa na mwanadam,Paka hawezi muona mchawi, ni kipofu kabisa, ndo maana anatumwa, Paka ameonekana kuwa kiumbe kinachotumiwa sana na wachawi na washirikina hii ni kwasababu Paka ana kichwa chepesi, anaelewa haraka na kukariri, paka anaweza tumwa chochote nyumbani kwako, paka anaweza kuja kukuchunguza maisha yako kichawi, mtakubaliana na mimi inaweza ukawa umejifungia ndani au umeleta kitu kwa siri ndani kwako ila utashangaa kibibi kichawi kinakwambia naona umenunua kitu fulani mjukuu wangu. sasa ndo ujiulize kimejuaje wakati kinakaa mtaa wa pili na wewe umeleta kwa siri? paka anao uwezo wa kukamata vitu kwa haraka,wengine watumwao ni ndege njiwa na bundi maana hawaoni uchawi.
MBWA JE YUKOJE?
kwa mbwa ni kinyume kidogo, mbwa anaona wachawi, anauwezo mkubwa sana wakuona uchawi, anakichwa kizito, hawezi tumwa na wachawi maana ataharibu kabisa kwakuwa anaona wachawi wengine, mbwa hafai, wengine hadi humwita mbwa ni najisi, hili ni kwasababu mbwa havumilii kuona majini au wachawi wanakatiza lazima atabweka! mbwa ameonekana kufaa katika ulinzi kwasababu anaona usiku wezi na wachawi. ukiona mbwa anabweka sana usiku nyumbani kwako usipuuzie chunguza lazima utakuta kuna tatizo.wengine wenye uwezo wa kuona ni KUKU na BATA ...hao wanaouwezo wa kumwona mchawi...hakikisha unawatumia wanyama wako kukurinda kwa kusikiliza milio yao.
 
Ukiwa unafikra Na Imani ndogo utaujali uchawi.Watu ambo wanamuogopa MUNGU Kwa dhati kwamba yeye ndio kawaumba hao
"Wachawi Na wanga".Basi hakuna anaye weza kukudhuru 100%madhubut.
Halafu paka Na mbwa ni wanyama rafiki ya binaadam:Nakila mmoja anashughuli yake.
Mbwa ni mlizi wako.kwend kuwinda Na anamapemzi kuliko watu wengi tu.
Paka ni mlizi wa nyumbani Kwa Panya Na wadudu wanao weza kuleta madhara nyumbani.
 
Enyi wadau!
KWANINI PAKA HUTUMIKA

katika viumbe vya kufugwa na mwanadam,Paka hawezi muona mchawi, ni kipofu kabisa, ndo maana anatumwa, Paka ameonekana kuwa kiumbe kinachotumiwa sana na wachawi na washirikina hii ni kwasababu Paka ana kichwa chepesi, anaelewa haraka na kukariri, paka anaweza tumwa chochote nyumbani kwako, paka anaweza kuja kukuchunguza maisha yako kichawi, mtakubaliana na mimi inaweza ukawa umejifungia ndani au umeleta kitu kwa siri ndani kwako ila utashangaa kibibi kichawi kinakwambia naona umenunua kitu fulani mjukuu wangu. sasa ndo ujiulize kimejuaje wakati kinakaa mtaa wa pili na wewe umeleta kwa siri? paka anao uwezo wa kukamata vitu kwa haraka,wengine watumwao ni ndege njiwa na bundi maana hawaoni uchawi.
MBWA JE YUKOJE?
kwa mbwa ni kinyume kidogo, mbwa anaona wachawi, anauwezo mkubwa sana wakuona uchawi, anakichwa kizito, hawezi tumwa na wachawi maana ataharibu kabisa kwakuwa anaona wachawi wengine, mbwa hafai, wengine hadi humwita mbwa ni najisi, hili ni kwasababu mbwa havumilii kuona majini au wachawi wanakatiza lazima atabweka! mbwa ameonekana kufaa katika ulinzi kwasababu anaona usiku wezi na wachawi. ukiona mbwa anabweka sana usiku nyumbani kwako usipuuzie chunguza lazima utakuta kuna tatizo.wengine wenye uwezo wa kuona ni KUKU na BATA ...hao wanaouwezo wa kumwona mchawi...hakikisha unawatumia wanyama wako kukurinda kwa kusikiliza milio yao.
mambo ya mshana
jr
 
mbwaa anao uwezo wa kuona msiba katika mtaa usika ndan ya week mbili hadi mwezi mbele kwa kutoa mlio huu kwa mda wa dk kadhaa mlio huo ni huu hapa jaribu kukamata melod nadhan unaujua kishavufanye utafit uuuuuuuuuuooowh uuuuuuuuooooouuuuhw uuuuuuuuuuhw nilijchunguza hii tokea nikiwa mdogo nomethibitisha ni kweli bibi yangu ndio alirnieleza hii kitu nikaifanyia tafit
 
Back
Top Bottom