Reghia
Senior Member
- Sep 29, 2016
- 126
- 113
Kama umekulia vijijini kama mimi hasa vijiji vilivyo mikoa ya nyanda za juu kusini basi huwezi acha kumjua huyu dada maarufu kwa nyimbo zake maaraufu kama nyimbo za "ntombi" au "funk 36" kwani zilikua zikipigwa sana kwenye vilabu vya pombe na harusi hasa baada ya bibi arusi na bwana harusi kuondoka NA ambushi za kufukuza wanafunzi kuanza ...nyimbo kutoka kwenye albamu zake kama JELANI JELANI na MFANANYANA zilibamba sana.. Lkn cha kusikitisha ni kwamba ukienda Wikipedia hakuna hata story fup ya huyu mwanadada toka South Africa. UNAMKUMBUKA?NIAMBIE UNAKUMBUKA NN UKISIKIA NYIMBO ZAKE!?