Baada ya kumaliza darasa la saba ,kidato cha nne na kidato cha sita wanafunzi wanalazimika kukaa mitani kwa muda mrefu wakisubiri matokeo ya mitihani yao na baada ya matokeo wanalazimika kukaa tena mitaani kwa muda mrefu wakisubiri kupangiwa shule au vyuo vya kwenda kuendelea na masomo yao ya juu!
Hili ni mmojawapo ya mambo yanachangia watoto wa kike kujazwa mimba na wanaume wasio na maadili maana watoto Hawa wanakuwa hawana kazi maaluum za kufanya isipokuwa kuzurula mitaani!
Ingekuwa vyema wizara ya elimu iangalie uwezekano wa kupunguza muda Wa kusubiri matokeo ya mitihani na muda Wa kusubiri kupangiwa shule!!