ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Sio kwamba najifanya mjuaji lakini ukweli naona kama Tanzania iko busy na mambo mengine ya ajabuajabu kama kuwakamata kina Yeriko nyerere nyumbani kwao saa saba usiku wakati kuna vitu kiukweli inabidi kuhangaika navyo na mbaya zaidi hata raia wa kawaida wana acces navyo.
(1)DRONES...hivi vidude vinavyopaa vya kupigia video vipo kila kona ,same stuffs zinatumika na ISIS huko Iraq na Syria kulipua mabomu maana vinaweza kwenda hadi 500 metres,embu Imagine(Mungu pishilia mbali ni mfano tu)Ikulu kuna dhifa labda ya kitaifa halafu kuna mwenye roho mbaya fulani anakipaisha juu mita 500 toka pale akakidondoshea pale itakuwaje?maana yangu ni kwamba vimekuwa vingi hivi vidude vitungiwe sheria ya kudhibiti maana hata maeneo kama karibu na airport ndege zinapopaa na kutua ni hatari sana
(2)GOOGLE EARTH / GOOGLE EARTH STREET VIEW: Unaweza ukakuta mtu kakamatwa lugalo kisa kapiga picha na akachezea kichapo ambacho atakuja kusimulia wajukuu zake mwaka 2040 wakati huo nchi ya Tz ikiwa chini ya utawala wa Daud Bashite ila watoa kichapo wakasahau kwamba kuna watu wanawachora tu kupitia google earth...NAJUA google earth street view haipo Tanzania ila itakuaja moja ila in general kiteknolojia especially kwenye kuwa spied ki satellite tumejipangaje?
Idara ya usalama wa taifa ipo kweli ki teknolojia au inatumia manguvu tu?maana mtaani inamaanika jamaa ni watu wa kutumia maguvu although dunia inapoenda huko only God knows tusije yu tukaleta treni ya umeme inayotumia computer halafu wakajitokeza wehu waka. hack na kufanya yao.
Adios,amigo.