Leo katika kanisa la Ufufuo na Uzima Yule askofu machachari Askofu Gwajima amejibu mashambulizi ya hotuba ya RC wa Dar Es Salaam yaliyofanyika television ya Star TV majuma kadhaa yaliyopita...
Wakuu,
Naomba kwa wazoefu tuambizane ukweli, hivi kweli kupiga massage huko kwenye massage palour kunasaidia? wakati mwingine haya makazi yetu, umeshika majalada wiki nzima kichwa kimechoka...
Habari Jf
Sauti zinafanana sana wakuu, ukimskliza huyo dada kwenye hiyo video sauti yake inafanana sana na sauti ya wema
Sauti kama hiyo ukiisikiliza kwenye audio ni ngumu sana kukubali kuwa...
Serikali imesema italazimika kuwanyang'anya vitalu vya ufugaji wawekezaji waliomilikishwa vitalu na ranchi ya taifa ya Misenyi iliyoko mkoani Kagera.
Hii ni kutokana na wawekezaji wa vitalu hivyo...
Mimi mwenyewe nimeona huu mchezo, kondakta anasimamisha gari, anakwenda kumpaa trafic elfu kumi, nimejaribu kumuuliza konda hiyo hela uliyompa ya nini, akaniambia ya operation, nikamuuliza...
UPONYAJI WA MOYO ULIOVUNJIKA
Yesu Kristo karibu katika mafundisho haya Roho mtakatifu aniongoze nifundifundishe kwa kadri ulivyonielekeza ili kusudi lako litimie watu wapate uponyaji. Eeh! Yesu...
UPONYAJI WA MOYO ULIOVUNJIKA
Yesu Kristo karibu katika mafundisho haya Roho mtakatifu aniongoze nifundifundishe kwa kadri ulivyonielekeza ili kusudi lako litimie watu wapate uponyaji. Eeh! Yesu...
Watu wawili wamepoteza maisha na wengine 29 kujeruhiwa baada ya tela la trekta kupinduka karibu na Kijiji cha Terrat kilichopo mkoani Manyara.
Mkuu wa Wilaya, Ndugu Zephania Chaula...
wadau!!
Naoamba nielekeze hoja hii kwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani mh. Mbowe na Joyce Mukya mbunge wa viti maalumu CHADEMA.
Ni muda sasa umepita tumesikia mengi kuhusu uhusiano siri wa...
Vijana watatu kati ya kumi na mbili wauawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kupita duka kwa duka wakiwa na silaha aina ya mapanga na visu kuvamia mtaa wa Kibo Rombo Ubungo.
Watu hawa...
Habari za wikiendi wakuu,
Naomba kuuliza hivi hawa ndege warukao wana akili kama za samaki au inakuwaje kwenye ubongo wao?
Maana hapa kwangu huu mwezi sasa kuna vindege viwili ikifika alfajiri...
Kutokana na kazi zangu za kutumia nguvu nahitaji kupumua kidogo. Huwa inanilazimu kwenda Kinondoni ambako ni mbali na foleni kali hasa wakati wa jioni. Wazee naomba mnijuze kuhusu Massage centre...
Wadau za jumapili.
Stability ya umeme Morogoro (sijui huko kwingine) tangu huyu muheshimiwa ajiuzulu imekuwa shida. Swali je hii inaleta picha gani. Ni kweli kuna hujma za makusudi kukata umeme...
Amani ya bwana iwe nanyi wapendwa,
Kabla ya yote husika na kichwa cha habali hapo juu,
Kuna mtindo wa siku nyingi ambao hufanywa na mafia wa Dar wanapopigwa bao na watu kutoka mikoani, huu...
Habari za jumapili.
Inajulikana kuwa kila nchi watu wake wanasifika kwa jambo fulani liwe zuri au baya. Mfano ni German na bia,russia na vodka,brazil na soka,japan na kazi. Somalia na vita, China...
Kipaji ni tunu hakuna awezae kumzawadia mwingine kile alichopewa na manani
Fikra na ndoto zangu nilitegemea kuwa mcheza netball maarufu kama alivyo samata katika soka
Siku timu yetu ilipoweza...
Marekani. Mtoto Doreen Mshana, manusura wa ajali ya Lucky Vincent, ameruhusiwa kutoka Hospitali na sasa ameungana na wenzake wawili katika nyumba maalum wanamoishi, Marekani, jimbo la Iowa...