Sauti zinafanana sana wakuu, ukimskliza huyo dada kwenye hiyo video sauti yake inafanana sana na sauti ya wema
Sauti kama hiyo ukiisikiliza kwenye audio ni ngumu sana kukubali kuwa muongeaji sio wema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.