Prof. Muhongo ndio unaondoka na umeme!

Luse msomba

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
228
159
Wadau za jumapili.

Stability ya umeme Morogoro (sijui huko kwingine) tangu huyu muheshimiwa ajiuzulu imekuwa shida. Swali je hii inaleta picha gani. Ni kweli kuna hujma za makusudi kukata umeme TANESCO ambazo muheshimiwa alipiga pin. Ukweli tulisha sahau kukatika kwa umeme tatizo ambalo ubruptly linarudi kwa speed.

Ni shida ni kero. Siye wenye salon ni shida ukata
 
Unatia kinyaaa
 
Yaani mi huwa nawashauri watu bora kuwa na umeme wa solar kuliko huu wa kila siku malalamiko na kulaziana shughuli za uzalishaji

yaaah uko sahihi mkuu, niliwai kutembelea kijiji kimoja hivi kiko Morogoro, nikakuta mama mmoja hivi kawekewa solar na inawaka vizuri sana. alisema yeye hakuweza kuilipia yote kwa wakati huo ila alichofanya ni kuomba awe analipia kidogo kidogo lkn umeme wake ni wa uhakika na haukatiki kabisa liwake jua, inyeshe mvua yeye hana noma na hata kama ikitokea tatizo basi wanakuja wenyewe kurekebisha bure kabisa. Solar ni nzuri kwa kweli sema ghalama za awali ndio mtihani.
 
Kweli mkuu huku kwetu watu wengi wamejiunga na kampuni moja inakopesha unalipa kidogo kidogo na wengine wamesha maliza mkopo wana pata mwanga wa uhakika kuliko wenye umeme wa hili shirika letu
 
Back
Top Bottom