Wema Sepetu: Mapenzi ninayopata CHADEMA ni mazito, niiteni Kamanda

mtotomtamuu

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
602
1,459
Kazi ninayoifanya ni Kusoma Katiba kwa Kina Kabisa... Bhaaaaass... [HASHTAG]#CallMeKamanda[/HASHTAG] ....

4f77f2c2ddad7e9e76ae9f06afd0d172.jpg
 
Utamu wa pesa hakunaga na bodyguard juu, lazima mwana wa Sepetu asikie raha kwa sasa.
 
Siku zote ndoa ikiwa bado changa utabebwa hata ukienda kuoga

Akili ndio silaha kubwa ktk maisha kuliko elimu na umaarufu hapo Chadema wanatumia umaarufu wako lakini ingekuwa na maana kama wangetumia akili zako kwani umaarufu ni kitu ambacho kinapanda na kushuka

Kwenye maisha ya siasa ni tofauti na maisha ya ustar kwani star anapenda kashfa kujibust wakati mwanasiasa hapendi kashfa ktk maisha yake ya siasa so ingekuwa vizuri wakatumia akili yako kuliko ustar wako bahati mbaya una ustar without akili ila una ufahamu kwa vile umekwenda shule lakini si Akili kwani akili ni moja ya vitu ambavyo vinapatikana bure kwa Mungu hakuna sehem u wanayouza akili au kufundisha akili so hata ungesoma IST ungekuwa na ufahamu mkubwa tu si akili
 
Wema anaua ccm mtaona 2020
Hawa Bongo movie siyo wa kuaminika mkuu umesahau wolper anamwita Lowassa daddy hadi akawa anajiita wolper lowassa yani full gwanda wakat wasanii wenzake wako ccm.
Yeye akakomaa hadi akawa anatukanana na wenzake kila mtu alimkubari na ukamanda, lakini alivyojivua gwanda kama vile alikuwa possesed sasa akawa released
 
Back
Top Bottom